Posted on: January 31st, 2023
Halmashauri ya wilaya Kilindi imefanikiwa kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 296.6 kwa vikundi vya vijana,wanawake na walemavu.
Mikopo hiyo imekabidhiwa kwa vikundi hivyo baada ya kukid...
Posted on: January 27th, 2023
Serikali kuu imetoa kiasi cha shilingi milioni mia moja kwa ajili ya ukarabati wa shule kongwe ya msingi Sangeni iliyopo kata ya Jaila katika Halmashauri ya wilaya Kilindi.
Akizungumzia ujenz...
Posted on: January 26th, 2023
Serikali imedhamiria kwa vitendo kufufua zao la Pamba ili kuinua uchumi wa wananchi wake ambao wengi ni wakulima.
Dhamira hiyo ya kufufua zao la Pamba imedhihirika wazi baada ya serikali kuto...