Posted on: June 10th, 2025
Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 umepitia miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 7.9
Miradi iliyopitiwa na mwenge huo tarehe 07.06.2025 katika wilaya ya Kilindi ni &nbs...
Posted on: January 5th, 2025
Waziri wa Ujenzi Mh:. Abdalah Ulega amefanya ziara ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Handeni - Mafuleta inayojengwa kwa kiwango cha lami km 20 za awamu ya kwanza.
Waziri Uleg...
Posted on: December 20th, 2024
Mkuu wa wilaya Kilindi Mhe. Hashim Mgandilwa amewataka wakazi wa Kijiji Cha Mgera waliojenga kando kando ya mto Lukigula kuhama makazi hayo ili kunusuru maisha yao kufuatia maporomoko ya udongo yanayo...