UTANGULIZI
Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 za Halmashauri ya Wilaaya ya Kilindi. Idara inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria Na. 7 ya mwaka 1982 ya uanzishwaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Idara imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-
Mipango
Takwimu
Ufuatiliaji na Tathimini (M&E)
KAZI ZA IDARA
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.