• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

MRADI WA MAJI KWAMALIGWA-GITU KUNUFAISHA WAKAZI 36,263

Posted on: June 17th, 2025

Wakazi wapatao 36,263 wa vijiji 7 watanufaika na huduma ya maji safi na salama kufuatia  ujenzi wa mradi wa maji utakaogharimu zaidi ya shilingi Bilioni 6.9

Mradi huo ambao umeanza kutekelezwa  katika mwaka wa fedha 2023/2024 tarehe 07/03/2024 utawanufaisha wakazi 32,641 kutoka katika  vijiji vya kata ya Kibirashi na 3,622 kutoka kijiji  kimoja katika kata ya Kisangasa.

Vijiji vya kata ya Kibirashi ambavyo wakazi wake watanufaika na mradi huo ni Nkoa Kibirashi,Kwamaligwa,Gombero,Elerai na Gitu ambapo kwa upande wa  kata ya Kisangasa kijiji ambacho wakazi wake watanufaika na mradi huo ni Kwediswati

Mradi huo ambao umewekewa jiwe la msingi na kiongozi wa kitaifa wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 ndugu Ismail Ali Ussi tarehe 07/06/2025 utekelezaji wake umefikia asilimia 50 ukihusisha kazi za ujenzi wa kidakio/intake (50%),ujenzi wa ki banda cha mitambo(70%),ujenzi wa njia ya umeme(60%),ujenzi wa matenki  ya maji yenye mita za ujazo1,000 na 300 (50%).

Kazi nyingine ni ununuzi wa bomba uchimbaji mtaro,ulazji na uunganishaji  bomba umbali wa mita 49,265 (60%),ujenzi wa vituo vya kuchotea maji 47 (20%),ununuzi na ufungaji  wa pampu ya kusukumia maji (0%),ujenzi wa ofisi ya usimamizi wa mradi-CBWSOs (0%) na ujenzi wa uzio kuzunguka kibanda cha mitambo na tanki za maji (0%)

Mradi ulitarajiwa kukamilika tarehe 06/04/2025 lakini kutokana na sababu mbalimbali mradi huu sasa unatarajiwa kukamilika  tarehe 01/09/2025 na hadi utakapokamilika utasaidia wilaya kuwa na ongezeko la  asilimia 9.7 la wananchi wanaopata huduma ya maji safi na salama

Shukrani kwa serikali inayoongozwa na Mh:Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wananchi wanapata huduma muhimu kama maji karibu na maeneo yao na kutekeleza azma ya kumtua mama ndoo kichwani kwa vitendo.

MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TAASISI YA MO DEWJI KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU YA MACHO NA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA AKINA MAMA BURE WILAYANI KILINDI June 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI YAPOKEA FEDHA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 632 ZA MIRADI

    June 22, 2025
  • MRADI WA MAJI KWAMALIGWA-GITU KUNUFAISHA WAKAZI 36,263

    June 17, 2025
  • MWENGE WA UHURU WILAYANI KILINDI WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 7.9

    June 10, 2025
  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.