Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilindi anawatangazia wananchi wote kuwa kuanzia tarehe 03-05.06.2025 taasisi ya MO DEWJI kwa kushirikiana na Halmashauri itatoa huduma za matibabu zifuatazo bure
Uchunguzi wa macho,kupima macho,utaoji dawa za macho,Kutoa miwani ya kusomea huduma za upasuaji wa mtoto wa jicho na chakula kwa watakaolazwa kwa ajili ya upasuaji
Huduma hizi zitaambatana na huduma za kibingwa kwa wakina mama yaani uzazi na kizazi na kupata fursa ya kuhudumiwa na Daktari Bingwa wa akina mama.Uchunguzi wa magonjwa ya wakina mama,vipimo na matibabu bure kwa wenye uhitaji
Huduma hizi zitatolewa katika hospitali ya wilaya ya Kilindi iliyopo Mabombwe katika kata ya Bokwa
Mawasiliano piag:0611 841225
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.