Halmashauri ya wilaya Kilindi imenunua kilo 845 za mbegu za Alizeti na kuzigawa kwa wakulima wa kata tano.
Mbegu hizo zinatosheleza kulima ekari 445 na zimegawanywa katika kata za Pagwi,Kikunde,Kilindi,Kibirashi na Mabalanga
Mbegu tayari zimeshagawanywa kwa wakulima wa kata hizo lengo likiwa ni kuhamasisha matumizi ya mbegu bora na kuboresha kilimo ambacho kitaongeza mapato ya ndani ya Halmashauri ya wilaya Kilindi
Modi Mngumi-Kilindi
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.