• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

MIKOPO ASILIMIA KUMI

Posted on: November 25th, 2025

TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

(Limetolewa kwa kuzingatia Kanuni ya 8 (1))

Mkurugenzi wa Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi anatangaza uwepo wa jumla ya shilingi 550,500,000.00 (Milioni Mia Tano Hamsini na Laki Tano) ambazo zimetengwa katika robo ya pili ya mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili ya kuvikopesha vikundi vya Wanawake, Vijanana Watu Wenye Ulemavuvyenye sifa. Kwa mchanganuo ufatao;-

Na.
Aina ya Kikundi 

Kiasi cha Mkopo

Asilima (%)

1.

Wanawake

220,200,000.00

40

2.

Vijana

220,200,000.00

40

3.

Watu wenye Ulemavu

110,100,000.00

20


Jumla

550,500,000.00

100

Sifa za Vikundi vinavyotakiwa kuomba Mikopo: -

  • Kiwe kimetambuliwa na kupewa cheti cha utambuzi na Halmashauri kupitia mfumo wa kielektroniki wa wezesha.
  • Kiwe kinajishughulisha na ujasiriamali mdogo au wa kati au kinatarajia kuanzisha shughuli ya ujasiriamali.
  • Kikundı cha Wanawake na Vijana kiwe na wanakikundi kuanzia watano (5) na kuendelea.
  • Kikundi cha watu wenye ulemavu kiwe na wanakikundi kuanzia wawili (2), mwenye ulemavu mmoja anaweza kupata mkopo iwapo timu zote za usimamizi zitajiridhisha kuwa amekosa wa kuungana naye katika eneo lake.
  • Kiwe na akaunti ya benki iliyofunguliwa kwa jina la kikundi kwa ajili ya matumizi yashughuli za kiujasiriamali.
  • Wanakikundi wawe ni raia wa Tanzania wenye akili timamu wenye Kitambulisho chaTaifa (NIN) kinachotolewa na NIDA, kuanzia miaka 18 na kuendelea.
  • Wanakikundiwasiwewenyeajirarasmi,
  • Vijanakuanziaumriwamiaka 18 mwisho 45.
  • WawewenyejiwaeneowanaloombeaMkopowasiwewageni au wapitaji

KikundikinachoombaMkopokiambatanishe;

  • Barua yakikundiyakuombamkopoiliyopitishwanaAfisaMtendajiwa Kijiji
  • Muhtasariwakikundiwakuombamkopo.
  • Andikorahisi la mradiunaoombewamkopokwakuzingatiafomumaalumyaandiko la mradiiliyopitishwanaAfisaMaendeleoyaJamiingaziya Kata.
  • Nakala yataarifayaakauntiyabenki (Bank Statement).

NamnayakuwasilishaMaombiyaMkopo;-

Maombi yote yamikopoyatumwekupitiamfumowakielektronikiwaWezesha Portal (kupitiatovuti https://mikopohalmashauri.tamisemi.go.tz/) baadayakutambuliwanaHalmashauri.

Kwa ufafanuzi/maelekezozaiditafadhaliwasiliananaAfisaMtendajiwa Kijiji au AfisaMaendeleoyaJamiiwaKata au AfisaMtendajiwaKata eneolako.

Tangazohililimetolewaleotarehe 17/11/2025.

Mwishowakuwasilishamaombinitarehe 16/12/2025

John K. Mgalula

MKURUGENZI MTENDAJI

HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI

“Huduma zote zinazotolewa na Afisa wa Serikali hazilipiwi ni bure”.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TAASISI YA MO DEWJI KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU YA MACHO NA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA AKINA MAMA BURE WILAYANI KILINDI June 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA KILINDI AWATAKA VIJANA KUILINDA AMANI NCHINI

    December 01, 2025
  • WATUMISHI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI WAHAMASISHWA KUWEKEZA KATIKA MASOKO YA FEDHA NA HISA KWA AJILI YA AKIBA NA MENDELEOKWA AJILI YA KUWEKEZA KWA AJILI YA AKIBA NA MAENDELEO

    November 25, 2025
  • MAPAMBANO DHIDI YA SARATANI YA MATITI YAWALINDE WANAWAKE

    September 30, 2025
  • HALMASHSURI YA WILAYA YA KILINDI YAKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NGAZI YA KATA

    September 22, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.