Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi kuanzia tarehe 13 Agosti 2018.Elimu ni shahada ya Uzamili kwenye uongozi wa Biashara katika Mashirika ya Umma na Shahada ya Sayansi ya Mifumo ya Kompyuta.Kabla ya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi,alikuwa Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.