• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji Kilindi Watatua Migogoro ya Ardhi

Posted on: November 23rd, 2018

Na Ulirch P. Laswai

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi limeendelea na zoezi la kutatua Migogoro mbalimbali ya Ardhi katika ngazi za Kata na Vijiji. Baraza hilo la Madiwani linalenga kumaliza kabisa migogoro ya Ardhi iliyopo baina ya kata kwa kata na vijiji kwa vijiji ili kusaidia wananchi wa Kilindi kuondokana na kero hiyo.

Akizungumza katika Baraza la Madiwani lililofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Novemba 22 mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji, Ndugu Gracian Max Makota amewataka waheshimiwa Madiwani na viongozi wa ngazi za Kata na Vijiji kumaliza migogoro ya ardhi iliyopo kwenye maeneo yao ya uongozi kwa kutumia taratibu, kanununi na sheria za ardhi na kutumia busara katika kupata suluhisho la migogoro hiyo iliyodumu kwa muda mrefu.

“Nguvu nyingi zimetumika, fedha pamoja na busara katika kutatua migogoro ya ardhi Kilindi bila ya kupata suluhisho,badala ya kutumia nguvu hizo kwa kufanya shughuli za maendeleo kama ujenzi wa madarasa, kwani chembechembe za migogoro hii ipo katika ngazi ya kata, sasa tunaweka azimio la kumaliza migogoro yote ya ardhi katika kata mnakotokea” Alisema Mkurugenzi Mtendaji

Makota amekuwa akifanya mawasiliano na baadhi ya Watendaji wa vijiji mara kwa mara kila inapotokea migogoro ya ardhi pamoja na kuwatumia waheshimiwa madiwani katika kutoa elimu ya kutafuta shuluhisho la migogoro ya ardhi pamoja na wataalam wa Ardhi ngazi ya wilaya, ngazi ya Mkoa na hata Wizara pasipo kumaliza migogoro ya ardhi Kilindi, badala yake ikagundulika kuwa matatizo hayo yanasababishwa na viongozi katika ngazi za kata na vijiji, hicho ndicho kilichopelekea Mkurugenzi Mtendaji kutoa agizo kwa baraza la Madiwani kwenda kumaliza migogoro hiyo katika ngazi za kata.

Kwa upande wa Waheshimiwa Madiwani waliafiki kwa pamoja kuwa suala la kutatua migogoro ya ardhi nilalazima na kwamba wapotayari kulitekeleza kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za ardhi zilivyo na kwa kushirikiana na viongozi waliopo katika ngazi za kata na vijiji ili kuwasaidia wananchi wa Kilindi kuondokana kabisa na changamoto hiyo, lakini baadhi yao walisema pindi tatuzi zikiwa zinafanyika kama kutakuwa na ulazima wataomba msaada wilayani hasa kwa migogoro baina ya kata kwa kata na ile ya kati ya Kilindi na vijiji vya wilaya nyingine.

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Kilindi Mhe.Bakari H.Kingalangala naye aliafikiana na wajumbe wa Baraza la Madiwani kuhusu azimio la kutatua migogoro katika ngazi za kata na vijiji, lakini pia alizungumzia chanzo cha migogoro ya Ardhi Kilindi kuwa inasababishwa na wenyeviti wa vijiji wanaouza maeneo kiholela kwa tamaa za kupata fedha na kwa upande mwingine ni hata wataalam wa ardhi kwa kuwa wanatumia ramani za vijiji ambazo hazikuwahusisha wananchi wakati zinaandaliwa Mfano ni ramani ya vijiji ya mwaka 2007 iliyoandaliwa na wizara ya ardhi na makazi.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TAASISI YA MO DEWJI KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU YA MACHO NA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA AKINA MAMA BURE WILAYANI KILINDI June 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI YAPOKEA FEDHA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 632 ZA MIRADI

    June 22, 2025
  • MRADI WA MAJI KWAMALIGWA-GITU KUNUFAISHA WAKAZI 36,263

    June 17, 2025
  • MWENGE WA UHURU WILAYANI KILINDI WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 7.9

    June 10, 2025
  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.