Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) Kilindi anawakumbusha watumishi kushiriki katika zoezi la fursa ya kusajili laini za simu kwa Mfumo wa vidole (Biometric) Septemba 05 na 06, 2019 Makao makuu ya Halmashauri,zoezi hili litaendshwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kanda ya Kaskazini pamoja na watoa huduma za mawasiliano ya simu.
NB:-Muda wa ukomo wa kusajili laini ni Disemba 2019,Hivyo unashauriwa kuwahi katika fursa hii.
Ulirch P.Laswai
KNYMKURUGENZI MTENDAJI (W)
KILINDI
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.