Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda Mtondoo anapenda kuwaalika wananchi wote ndani na nje ya Wilaya ya Kilindi katika Shamrashamra za Sherehe za Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Kilindi zitakazoambatana na Kuzindua, Kukagua na kutembelea Miradi mbalimbali iliyotekelezwa.
Wilaya ya Kilindi tunatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru tarehe 30.06.2019. Ratiba kamili itatolewa hapo baadae.
Wananchi Wote Mnakaribishwa.
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.