• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

WAKAZI WA KATA YA PAGWI WAANZISHA STOO YA MATOFALI

Posted on: August 7th, 2021


Na Modi Mngumi

Wakazi wa kata ya Pagwi katika Halmashauri ya Wilaya Kilindi wameanzisha mpango wa stoo ya matofali kwa lengo la kurahisisha uchangiaji wa ujenzi wa  miundombinu mbalimbali ya maendeleo  ya ujenzi.

Wakizungumza na Mkuu wa Wilaya Kilindi Mh:Abel Yeji Busalama wakati wa ziara yake ya kuhamasisha maendeleo na kusikiliza kero za wananchi wakazi hao walisema kwa kuanza wameamua kufyatua tofali 67,000 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya.

Walisema katika mpango wao wataendelea kufyatua tofali nyingi zaidi kwa ajili ya kujiandaa na ujenzi wa madarasa hasa kwa ajli ya vijana wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.

Walisema katika mpango huo wa stoo ya matofali kila watu wawili wanatakiwa kutoa mfuko mmoja wa Saruji na Tsh 6,500/= za kufyatulia tofali.

Akizungumza na wananchi hao Mh.Busalama aliwapongeza kwa ubunifu huo na kuwataka wakazi wa maeneo mengine katika wilaya Kilindi kuiga mfano huo ambao utasaidia kurahisha ujenzi wa aina mbalimbali pale wananchi watakapohitajika kuchangia nguvu zao.

Akiwa katika ziara hiyo ya kuhamasisha maendeleo Mkuu wa Wilaya alitembelea miradi ya maji ya kata ya Kwekivu,Kikunde na Chamtui  ambapo alitoa wito wa kuundwa haraka kwa Bodi za maji ambazo zitasaidia miradi hiyo kuwa endelevu na kutatua changamoto zake.

Alisema Bodi za maji zitakuwa ni msaada mkubwa katika kusimamia miradi hiyo ambayo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo mapato kidogo na kuongeza kuwa Bodi hizo zitasaidia miradi hiyo kuongeza mapato na kuleta tija kama ilivyokusudiwa.

Akiwa katika kata ya Kikunde ambako alizungumza na wananchi Mh.Busalama aliwataka wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii Ulioboreshwa (ICHF) pamoja na kuwa wabunifu wa kufanya miradi mbalimbali ili kupambana na umaskini wa kipato katika kaya.

Mh:Busalama katika ziara hiyo pia alikagua ujenzi wa mabweni na maabara katika shule ya sekondari Kikunde.


MWISHO

Halmashauri ya wilaya ya Kilindi

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TAASISI YA MO DEWJI KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU YA MACHO NA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA AKINA MAMA BURE WILAYANI KILINDI June 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI YAPOKEA FEDHA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 632 ZA MIRADI

    June 22, 2025
  • MRADI WA MAJI KWAMALIGWA-GITU KUNUFAISHA WAKAZI 36,263

    June 17, 2025
  • MWENGE WA UHURU WILAYANI KILINDI WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 7.9

    June 10, 2025
  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.