• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

RC TANGA: WENYEVITI WA VIJIJI ACHENI KUSABABISHA MIGOGORO YA ARDHI

Posted on: September 12th, 2022

Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh:Omary Mgumba amekemea vikali tabia ya baadhi ya wenyeviti wa serikali za vijiji mkoani hapa kuacha kufanya vitendo vinavyosababisha  migogoro ya ardhi kwani haina manufaa kwa wananchi na badala yake imekuwa ni chanzo cha vurugu na kurudisha nyuma maendeleo

Mh:Mgumba aliyasema hayo katika ziara yake ya kikazi  wakati alipokuwa akizungumza na waheshimiwa Madiwani wa Baraza la Halmashauri ya Wilaya Kilindi.

Alisema mipaka kati ya eneo moja na jingine ipo kwa ajili ya kuwapima viongozi wa serikali waliowekwa kwa ajili ya kumsaidia Mh:Rais ili kuweza kujua kazi zao walizopangiwa zinaishia wapi na sio kwa ajili ya kusababisha vurugu na kujenga chuki kwa jamii.

“Lakini viongozi wanaong’ang’ania mipaka sio viongozi wakubwa  ni  wenyeviti wa vijiji vyetu wanataka yale maeneo sio kwa kuwatumikia wananchi  bali kuuza ardhi ya wananchi”Alisema M:Mkuu wa mkoa.

Alisema kwa mujibu wa sheria ya Ardhi Namba ya vijiji,kijiji hakina mamlaka ya kuuza zaidi ya ekari 50 na wale wote waliopata ardhi kwa kupewa na wenyeviti wa ardhi na wajumbe wake bila kupitia mkutano mkuu ardhi hiyo ni malai ya kijiji.

Alisema ni kweli hajaanza kazi anatuma salamu kama kuna mwenyekiti kaingia au yupo madarakani kwa sababu ya kuuza ardhi ya wananchi bila ridhaa ya wananchi wenyewe basi imekula kwake na kuongeza kuwa na wale wenyeviti wote wasiosoma taarifa kwa wanakijiji kila baada ya robo kwa mujibu wa sheria hao hawana nafasi kwenye uongozi wa Mh:Samia Suluhu Hassan. 

Alisema viongozi wapo kwa ajili kusimamia sheria na sio kuona haki na sheria zinavunjwa ni lazima kila kiongozi asimamie wajibu ili kuwasaidia wananchi haswa wale wanyonge wanopuuzwa siku zote haki zao.

NA MODI MNGUMI KILINDI

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TAASISI YA MO DEWJI KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU YA MACHO NA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA AKINA MAMA BURE WILAYANI KILINDI June 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI YAPOKEA FEDHA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 632 ZA MIRADI

    June 22, 2025
  • MRADI WA MAJI KWAMALIGWA-GITU KUNUFAISHA WAKAZI 36,263

    June 17, 2025
  • MWENGE WA UHURU WILAYANI KILINDI WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 7.9

    June 10, 2025
  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.