• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

MPAKA WA KUMALIZA MGOGORO WA ARDHI URIDHIWE

Posted on: August 21st, 2024

Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ndugu Hemed Suleiman Abdulla amezitaka pande mbili zilizokuwa na mgogoro wa mpaka kati ya Wilaya ya Kilindi  mkoani Tanga na Kiteto mkoani Manyara kuridhia mpaka uliowekwa na serikali  kwa lengo la kumaliza mgogoro huo uliodumu kwa muda mrefu

Akizungumza katika kikao na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Hemed ambaye pia ni mlezi wa CCM mkoa wa Tanga alisema Mh Rais Dk Samia Suluhu Hassan ametimiza jukumu lake la kumaliza mgogro huo na kilichobaki ni wananchi wa pande mbili hizo Wilaya Kilinid na Kiteto pamoja na wakazi wake kutimiza majukumu yao ambayo ni kuhakikisha mgogoro  hautakuwepo tena

Alisema maeneo yenye migogoro ya ardhi yana tija ndogo katika maendeleo  na katika kipindi chote cha mgogoro kunakuwa hakuna faida yeyote zaidi ya athari mbalimbali zenye kuleta hasara kwa jamii

Makamu huyo wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar alisema suala la amani ni muhimu na ndio msingi wa maendeleo katika jamii yeyote.

Ndugu  Hemed alisema Chama cha Mapinduzi kimekuwa kikihimiza suala la amani na utulivu kwa watanzania wote na kuwataka viongozi katika ngazi zote kushirikiana kutoa elimu ya umuhimu wa kuishi pamoja kwa amani

Akizungumzia kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba 27,mwaka 2024 Ndugu Hemed aliwataka wanachama wa CCM na viongozi wa chama hicho kuhakikisha chama chao kinashinda katika uchaguzi huo

Aliwataka wanachama wa CCM wenye sifa kujitokeza  kuomba nafasi za uongozi katika uchaguzi huo na kutoa wito kwa wanaopitisha majina ya wagombea uongozi kupitisha majina ya watu ambao watakwenda kuwatumikia wananchi na si vinginevyo

Kuhusu changamoto ya barabara Mlezi huyo wa chama mkoani Tanga aliahidi kuiwasilisha changamoto hiyo  sehemu husika ili itatuliwe  na kuwahakikishia wanakilindi kuwa ipo siku changamoto hiyo itakuwa ni historia katika wilaya Kilindi

MODI MNGUMI

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYA YA KILINDI KWAAJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024 September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA MAGEREZA February 01, 2024
  • TANGAZO LA CHAGUZI NDOGO ZA UDIWANI KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZA (NEC) February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 17, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MH: WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA WILAYA KILINDI

    January 05, 2025
  • WAKAZI WA MGERA WALIOJENGA KANDO YA MTO LUKIGULA WATAKIWA KUONDOKA

    December 20, 2024
  • JAMII ITOE KIPAUMBELE ULAJI WENYE MAKUNDI YOTE MUHIMU YA VYAKULA

    December 12, 2024
  • HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI 569,850,000.00

    November 18, 2024
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA, 2015
  • SERA YA TEHAMA YA TAIFA YA MWAKA 2016
  • SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI YA MWAKA 2015
  • SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA 2010
  • KITENGO CHA MUITIKIO WA DHARURA WA MATUKIO YA MITANDAONI
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu
  • TUME YA TAIFA YA UKIMWI TANZANIA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.