Wafugaji ambao ni jamii za kimasai ukiachana na wanyama wengine kama ng'ombe nk wanafuga Punda Mifugo, hii ina saidia kubebea mizigo midogo midogo kama maji, kuni na mkaa.