Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe.Sauda Salumu Mtondoo (katikati) ambaye ni mgeni rasmi wa siku ya kuzindua wiki ya upandaji miti kiwilaya, akiwa anapanda mche wa mti wa kivuli kwenye eneo la shule mpya ya Matindi inayojengwa katika kijiji cha Songe kata ya Songe.
Lengo kuu la wiki ya upandaji miti ni kuhakikisha miti imepandwa hadi kufikia idadi ya milioni moja na nusu ili kukabidhiana na mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu uliotokea kutokana na kukata miti ovyo kwaajili ya kilimo na ugaji wa mifugo mingi kupitiliza.
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.