Mbunge wa jimbo la Uchaguzi la Kilindi Mhe.Omary Kigua, katika picha (kushoto) akiwa na Meneja wa Wakala wa Huduma za misitu (W) Ndg Peter Fipwangile (kulia)akiwa anapanda mti wa kivuli kwenye eneo la mbele ya nyumba ya mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Makingo iliyopo kata ya Kisangasa.
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.