Mkuu wa wilaya Mhe.Sauda Salumu Mtondoo ambaye alikuwa mgeni rasmi siku ya kilele cha Juma la kupanda miti Kilindi akiwa ana panda mti wa kivuli kwenye eneo la shule ya Msingi Makingo iliyopo kata ya Kisangasa.
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.