Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani 2017 Kilindi
Posted on: March 22nd, 2017
Mkuu wa wilaya ya Kilindi Mh.Sauda Salumu Mtondoo mwenye miwani akikagua kazi za wanawake wajasiria mali wadogo waliojitokeza kushiriki siku ya wanawake duniani kiwilaya.