• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kilindi District Council
Kilindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maendeleo ya Jamii
        • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Ardhi na Maliasili
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Usafi na Mazingira
      • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Shughuli za Mifugo na Uvuvi
    • Shughuri za Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu na Majukumu yake
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Mradi wa Maji
      • Miradi ya Afya
    • Miradi inayoendelea
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
    • Miradi iliyokamilika
      • Huduma za Afya
      • Mradi wa Maji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video Mbalimbali

DC Kilindi: Watumishi Wa Afya Endeleeni Kuzingatia Maadili Ya Kazi Kwa Kutunza Siri Za Wateja Wenu

Posted on: December 1st, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda Salumu Mtondoo amewataka watumishi wa idara ya Afya Wilayani Kilindi kutunza siri za wateja wanaojitokeza kupima maambukizi ya virusi vya UKIMWI ili kuongeza mwamko wa upimaji Afya.

Aidha amewataka watumishi wa Idara ya Afya kuonyesha upendo na kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kuhudhuria kliniki kwa wakati na ufuasi  mzuri wa dawa .

Mhe. Mtondoo amesema hayo alipokuwa katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo yamefanyika Kiwilaya  kata ya Lwande leo tarehe 01.12.2020.

Madhimisho haya yaliongozwa kwa kauli mbiu ya “Mshikamano wa Kimataifa tuwajibike kwa pamoja”. yalihusisha asasi za Serikali na binafsi pamoja na wananchi wa Wilaya ya Kilindi ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda Salumu Mtondoo.

 

“Dumisheni ushirikiano kati ya Halmashauri, asasi za kijamii na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali katika kupunguza maambukizi mapya ya VVU.” Alisema Mhe. Mtondoo alipokuwa akisisitiza mambo ya kuzingatia ilikupunguza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Aidha kiwango cha maambukizi kiwilaya kutokana na upimaji uliofanyika Januari hadi Oktoba 2020 Jumla ya watu 84,869 kati yao wanaume 38,636 na wanawake 46,233 walipima VVU na waliogundulika kuwa na maambukizi ni 715 kati yao wanaume ni 262 na wanawake 453 ambapo kiwango cha maambukizi ni sawa na asilimia 1.0 ikimaanisha kuwa katika kila watu 100 mtu mmoja ana maambukizi ya VVU.

Hata hivyo amewataka wazazi na walezi kuhakikisha Vijana na Wanafunzi wanapatiwa stadi za maisha zitakazowawezesha kuchelewa kuanza kujamiana, Kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu athari za unyanyapaa na ubaguzi kwa watu wanaoishi na VVU na UKIMWI.

Imetolewa na:

Ndg. Ulirch Laswai na Samwel Mwantona

Kitengo cha Habari na Mawasiliano (W)

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI MWAKA 2021 December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MHE. DC KILINDI "ZINGATIENI USAFI WA MAZINGIRA ILI KUPAMBANA NA MALARIA"

    January 16, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi yatoa Mkopo wa pikipiki 10 kwa vijana

    January 15, 2021
  • MADIWANI WATAKIWA KUTOKUWA CHANZO CHA MIGOGORO

    December 18, 2020
  • Mhe.DC KILINDI ahamasisha umuhimu wa Hatimiliki Za Ardhi kwa wananchi

    December 16, 2020
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe. Sauda S.Mtondoo alipotembelea Mgodi wa Dhahabu wa Seita
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Hati ya Mishahara
  • Mfumo wa Mpango na Bajeti
  • Mfumo wa ffars
  • Mwongozo wa Kutumia Mfumo wa FFARS
  • Taarifa kwa Umma

Tovuti Nyingine

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Baraza la Taifa la Elimu ya kiufundi
  • Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora
  • Tovuti ya Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.