KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani
kazi zake ni:
1. WASIFU WA MKUU WA KITENGO
Jina: AARON SIMON MAYANGACheo:MKUU WA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI
Taaluma: PGDA - Post Graduate Diploma in Accountancy
ADA - Advanced Diploma in Accountancy
Anuani: S. L. P. 18, SONGE – KILINDI
Simu: 0784 – 86 36 86 / 0715 – 86 36 86
E/mail: dia@kilindidc.go.tz
Fax: 027 – 2977307
2. UTANGULIZI / HISTORIA FUPI YA JINSI IDARA / KITENGO KILIVYOUNDWA KISHERIA NA LINI,
1.0 UTANGULIZI
Kitengo cha ukaguziwandani wa hesabu cha Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi nikitengoambochokimeundwakwamujibu wa kifungunamba 48 cha Sheria ya fedha kwaMamlakazaSerikalizaMitaa na agizonamba 13(1 - 2) la Memoranda ya fedha kwaMamlakazaSerikalizaMitaa ya mwaka 2009– LAFM.Sheria na maagizotajwayanazitakakilahalmashaurikuajiriwakaguzi wake wa ndani wa mahesabuambaowatafanyakazikwakaribu na wakuu wa idara na kuwajibikamojakwamojakwaMkurugenziMtendaji wa Halmashauri.
2.0 MAMLAKA NA MAJUKUMU YA KISHERIA YA KITENGO
Kitengo cha ukaguziwandani cha Halmashaurikimepewamamlakakisheriakufanyaukaguzi wa usimamizi wa mambo ya kifedha, ukaguzi wa utekelezaji wa miradi, Ukaguzi maalumu na uchunguzichini ya kifungunamba 45(1) cha Sheria ya Fedha kwaMamlakazaSerikalizaMitaaNamba 9 ya mwaka 1982.
Majukumu ya kitengo cha ukaguziwandaniyanatolewakisheriachini ya agizonamba 14(1) hadi (10) la Memoranda ya fedha kwaMamlakazaSerikalizaMitaa ya mwaka 2009 - LAFM.
Hivyobasi, nijukumu la kitengo cha ukaguzi wa ndaniKutoaUthibitisho na Huduma ya Ushauri wa Kitaalam na kutoataarifajuu mambo yafuatayo:-
a)Uthabiti, utimilifu na matumizi ya udhibiti wa ndanikatikahalmashauri,
b)Kiwangoambachomali na maslahi ya halmashurivinatolewahesabu na kulindwadhidi ya hasarazozotezinazowezakuletwa na
i.Ubadhilifu na makosamengine,
ii.Upotevu, matumizimabaya, usimamizidhaifunakukosekanakwathamani ya fedha katikautekelezaji wa miradi.
iii.Kukosekanakwausahihi na kutoaminikakwakumbukumbuzakifedha na zakiutawalazinazotayarishwandadi ya halmashauri.
3.0 MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA KITENGO KWA MWAKA 2017/2018
Kwamujibuwaagizonamba 14(1) na (2) la Memoranda ya Fedha kwaMamlakazaSerikalizaMitaa (LAFM) ya 2009, kitengokinawajibikakutengenezampangokazi wake wa mwaka na MpangoMkakati wa unaozingatiavihatarishikatikautekelezajikwakutoakipaumbelekwenyemaeneoyenyehatari zaidi katika Ukaguzi na kuitekeleza. Kwamwaka wa fedha 2017/2018kitengo cha ukaguzikilitengenezampango wake ambapokazizautekelezajikwakilarobomwakaziliainishwa.
Kwakipindi cha robomwaka ya kwanza (Julai – Septemba 2017) kitengokimepangakutekelezakazizifuatazo:-
(i)Kukaguaukusanyajiwamapatoyote ya ndani na mapokezi ya mapatokutokaserikalikuu na wafadhili.
(ii)Kukaguanyarakaza Matumizi ya fedha katikaakauntizaHalmashauri.
(iii)Kufanyauhakikiwa payroll ilikubainiusahihi na uhalali wake na kuonakamakunawatumishihewa.
(iv)Kufanyaukaguziwamanunuzi ya ummailikuonakamataratibuzotezamanunuzizinafuatwakamainavyobainishwakwenyeSheria ya mwaka 2011 na kanunizakeza 2013.
(v)Kufanyaukaguziwautekelezaji wa miradiyote ya maendeleoilikuhakikiuwepo wa thamani ya fedha.
(vi)Kuhakikimajibu ya Menejimentikwahojazotezilizohojiwa na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzimkuu wa hesabuzaserikalikwamwakaulioishiatarehe 30-Jun-2017.
(vii)Kukaguaufungajiwakitabu cha mwisho cha hesabuzaHalmashaurikwamwaka wa fedha 2016/2017.
(viii)Kuandaataarifa ya ukaguzizarobomwakanakuziwasilishakwaMkurugenziMtendaji (W)nasehemunyinginekamazilivyoainishwakisheria.
4.0 IKAMA YA IDARA
Kwamujibuwaikama, kitengokinatakiwakuwa na watumishi (4) lakinikwasasakitengo kina watumishiwatatu (3).
5.0 CHANGAMOTO ZINAZOKIKABILI KITENGO
Katikautekelezaji wampangokazi wake wa mwaka, Kitengo cha ukaguzi wa ndanikimekuwakikikabiliwa na changamotozifuatazo:
•Ufinyuwabajetiiliyotengwakwakitengo na fedha kutoletwakwawakati.
•Ukosefugari la kitengokwaajili ya kutumikakatikaukaguzi wa miradi. Hililimekuwakikwazosanakwanikitengokimekuwakikitegemeakuazimamagarikutokaidarazinazokaguliwa na/au zilezenyemagari.
•Upungufuwawatumishiimekuwakikwazokwaniidara na miradinimingiukilinganisha na wakaguziwaliopo. Aidhakunamashule, zahanati, vituovyaafya, vijijina kata vyotehivivinayohitajikukaguliwawakaguziwaliopo.
•Ukosefuwamafunzo ya kutosha na ya marakwamarailikujengewauwezo wa kukabiliana na mbinumpyazakibadhilifuzakuhujumu fedha na mali ya umma.
•Menejimentikutokujibuhojazamkaguziwandanikwawakati.
•Baadhi ya mapendekezokwenyetaarifazamkaguziwandanikutokufanyiwakazi.
6.0 MIKAKATI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
Katikakukabiliana na changamotozinazokikwamishakitengokatikautekelezaji wampangokazi wake wa mwaka, Kitengo cha ukaguzi wa ndanikimechukuahatuazifuatazo:-
•Kuiombaserikalikuukuongezakiwango cha fedha zinazoletwakwakitengo na kuzileta fedha hizokwawakati.
•Kuendeleakuikumbushawizarayenyedhamanakutuleteagari la kitengokamahalmashaurinyinginezilivyoletewaililisaidiekutekelezakazizaKitengo.
•Kuiombaidara ya Utumishiitafutekibali cha ajirailiiwezekuajiriwakaguzi wa kutoshakulingana na ikama ya kitengo.
•Kuikumbushaserikalikuukutoamafunzo ya marakwamarakwawaguzi wa ndaniilikuwajengeauwezo wa kukabiliana na mbinumpyazaubadhilifu. Piakuiombahalmashaurikutenga fedha kwaajili ya mafuzokwawakaguzi wa ndani.
•Kuendeleakuisisitiziamenejimentijuu ya jukumu lake la kujibuhojazamkaguziwandanikwawakati na kutekelezaushaurianaotoa.
a. WATUMISHI WENGINE WANAOHUDUMU KATIKA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI NI:
(1)Jina: ALEX JONATHANI KAPOLOGWE
Cheo: MKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II
Taaluma: BA – Bachelor Degree in Accountancy
Anuani: S. L. P. 18, SONGE – KILINDI
Simu: 0712 – 96 69 82
E/mail: kapologwealex@gmail.com
(2)
Jina: SENAS BARTHAZAR JOSEPH
Cheo: MKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II
Taaluma: BA – Bachelor Degree in Accountancy
Anuani: S. L. P. 18, SONGE – KILINDI
Simu: 0787 – 7415 39
E/mail: senazary@gmail.com
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.