Thursday 25th, April 2024
@Matindi Primary school
Siku ya ufunguzi itafanyika shule ya msingi Matindi inayoendelea kujengwa kwenye kijiji cha songe kata ya songe na mgeni rasmi ni Mhe.Mkuu wa Wilaya, siku ya kilele itafanyika shule ya msingi makingo iliyopo kata ya kisangasa.
Lengo la kupanda miti ni endelevu, hivyo idara ya ardhi na maliasili inakusudia kupanda miti takribani milioni moja na nusu (1,500,000) kwa mwaka huu kiwilaya.
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.