Watumishi wote wa halmashauri ya wilaya kilindi mnatakiwa mfike benki kuhakiki akaunti zenu mkiwa na risiti ya malipo ya mshahara (salary slip), kitambulisho cha kazi na kadi ya benki
Mwisho wa kuhakiki akaunti yako ni tarehe 30/06/2017
NB: Mtumishi ambaye hatahakiki akaunti yake na taarifa zake kutokuwa sahihi hatalipwa mshahara kuanzia mwezi julai, 2017
Nawatakia utekelezaji wa haraka
BY UTAWALA
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.