Afisa Elimu shule za Msingi wa halmashauri ya Wilaya ya Kilindi anawakumbushia wazazi na walezi wote wa watoto wanaotakiwa kujiunga na masomo ya darasa la kwanza kwa mwaka huu itakuwa tarehe 31 Machi 2017,Hivyo unaombwa umwahishe mwanao shule kabla ya kufunga usajili huo.
asante.
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.