Mkurugenzi Mtendaji anawaarika wananchi wote wa Wilaya ya Kilindi na nje ya Wilaya kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Muhogo ambayo kitaifa yatafanyika Wilaya ya Kilindi tarehe 25.05.2019. Sherehe hizo zitafanyika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri kwanzia saa 2 asubuhi. Hivyo wananchi wote mnakaribishwa kushiriki.
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.