Kwa Wafanyabiashara, Wananchuwote wanaohitaji Huduma ya kukoboa Mahindi, kusaga na kusindika unga kwa ubora wa hali ya juu mnatangaziwa kuwa tunayo mashine yenye uwezomkubwa wa kuzalisha tani12 kwa siku.
Hivyo mnakaribishwa kwa huduma hiyo. Pia tuna GODOWN kubwa la kuhifadhi mizigo mbali mbali na pia kuna Ulinzi wa kutosha kwenye hili eneo la kiwanda
Kwa mawasiliano zaidi tumia anuani ifuatayo
KILINDI INDUSTRIAL COOPERATIVE SOCIETY (KICO'S)
P.O Box 16,
SONGE-KILINDI
SIMU:-0757558696
ASANTE
KARIBUNI WOTE
BY UONGOZI WA KIWANDA
Copyright ©2018 Kilindi DC . All rights reserved.